Skip to main content

Posts

Showing posts from April 8, 2015

TIZAMA PICHA ZA UTATA ZAVIDEO QUEEN WA NYIMBO YA KHALIGRAPH JONES "SONGEA" ANAJULIKANA KAMA K-LYNNE...

Leo katika pitepite zetu katika mitandao tumekumbana na picha za utata za Video QUEEN na Model kutoka hapa Kenya anayejulikana kama K-LYNN. Kumbuka K-LYNNE aliweza kuwa video Queen katika nyimbo nyingi tu ikiwemo SONGEA ya msanii wa HIP HOP kutoka mkoa wa Nairobi KHALIGRAPH JONES pamoja na video msanii AMOURY BEYB kutoka Mombasa. Mapema leo hii tumekumbana na pica za mrembo huyo katika mitandao yake na hizi ndio badhi ya picha izo.