Skip to main content

Posts

Showing posts from September 23, 2014

DUH!! UMEONA MUONEKANO MPYA WA MSANII WAKIKE NAZIZI? TAZAMA PICHA ZAKE HAPA AKIONESHA KWA MARA YA KWANZA..

Katika pitepite zetu za mitandaoni tuliweza kukumbana na picha za msanii wa miziki ya DANCEHALLapa Kenya kwa Jina NAZIZI ambapo aliweza kueka picha zake za muonekano mpya ambapo hapo nyuma alikuwa akifuga rasta lakini sasa rasta ameziweka chini na kuja na mtindo mwengine tofauti. Tizama picha hapa. chini

MTANGAZAJI WA PWANIFM DAVID MTANA WA MWARINGA HUENDA AKAWANIA KITI CHA WARD-REP MWAKA WA 2017..soma zidi hapa

Mtangazji wa PwaniFm kwenye kipindi cha Uchambuzi wa magazeti na swala Nyeti kinachoendeshwa na David Mtana Wa Mwaringa akiwa na Mkanyika Jilo kila Asubui,Mwaringa huenda mwaka 2017 akawania kiti cha Ward ya KAMBE VITUNI ambapo ni eneo anapoishi. Mwaringa alidhibitisha haya katika mtandao wake wa Facebook mapema wiki iliyo pita nayo THE GREAT MULLEY ililivalia njuga swala hilo lake na kumfuata hadi anapofanya kazi ili kujua kwamba ni kweli ama ilikuwa ni matana. THE GREAT tulipata nafasi yakumuhoji mtangazaji huyo na kufunguka ya kuwa yeye hana utani wowote na swala hilo na ameamua kuwa atagombea kiti hicho tulimuuliza ni nini haswa kilicho mvutia hadi kutaka kuwania kiti hicho " HILI SWALA SIO ATI MIMI NDIO NATAKA TU ILA NI WANACHI WA KAMBE VITUNI DIO WANATAKA NIPIGANIE KITI HICHO NA KUTAKA NIWAOKOE KATIKA JANGA WALILIOMO KWASASA MAANA WANANIAMBIA IKIFIKA MWAKA WA KURA MAMBO YATAKUWA YAMEHARIBIKA ZIDI HIVO BASI KUTAKA MIMI NIGOMBEE KITI HICHO NI OPINDI NIKIINGIA MAMLA