Skip to main content

Posts

Showing posts from September 18, 2014

HII NI KALI ZAIDI HUDDAH MONROE AZINDUA VAZI UCHII WANYAMA!!..Tizama picha hapa..

Msanii maarufu wa hapa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake..... Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadha rani akiwa uchi wa mnyama, juu akiwa amevaa vazi lake jipya alilolizindua. Picha hiyo ilisindikizwa na ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse!  "  Baadaye akaweka picha nyingine yenye ujumbe TATA Usemao: "No fat Zone! Take ya lame ass to the gym and let the ones who got bodies to show off - Show it off! ����. As long as my VAGINA is not showing , you are the one who is naked! ��" Hizi ni picha  za mrembo huyu akiwa ndani ya vazi hilo

KITENDO CHA WAGENI WALIOMO NCHINI SOUTH SUDAN KUFURUSHWA CHAMKASIRISHA MSANII BEBE COOL KUTOKA UGANDA...SOMA ALICHO KIANDIKA HAPA

Msanii kutoka nchini UGANDA anayefahamika kama BEBE COOL akasirishwa na onyo liliotolewa na nchi ya SOUTH SUDAN kuwa wageni ama wafanye kazi wote waliomo nchini uko wahame na kurudi katika nchi zao ambapo walidai kuwa wanaweza kujifanyia kazi wenyewe kwasasa. Kitendo hicho kimemkasirisha BEBE COOL hadi kuandika ujumbe wa uchungu kupitia ukurasa wake wa facebook ambapo alidai kuwa hataki kuona mwananchi yeyote kutoka taifa hilo akihudhuria tamasha lake popote pale. Soma alichokiandika hapa Hii ni baada ya taifa hilo kuagiza wafanyekazi wote waliomo katika nchi hio kuhama pindi itakapo fika tarehe kumi na tano mwezi wa kumi mwaka huu.