Skip to main content

HII NI KALI ZAIDI HUDDAH MONROE AZINDUA VAZI UCHII WANYAMA!!..Tizama picha hapa..

Msanii maarufu wa hapa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake.....

Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa uchi wa mnyama, juu akiwa amevaa vazi lake jipya alilolizindua.

Picha hiyo ilisindikizwa na ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse! 

Baadaye akaweka picha nyingine yenye ujumbe TATA Usemao: "No fat Zone! Take ya lame ass to the gym and let the ones who got bodies to show off - Show it off! ����. As long as my VAGINA is not showing , you are the one who is naked! ��"

Hizi ni picha  za mrembo huyu akiwa ndani ya vazi hilo


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..