EXCLUSIVE STORY||| HIKI NDIO KIWANGO CHA HELA MADAM BOSS AKOTHEE ANALIPISHA UKITAKA COLLABO NAYE WAAAAH!! JIPANGE MTU WANGU .....
Kama ilivyo ahadi yangu kwako, ni kuhakikisha haupitwi na story yoyote mtu wangu na leo nimeipata hii kutoka kwa msanii wa muziki kutoka hapa nchini Kenya, Akothee. Inawezekana wengi wetu tunafahamu tu kwamba ni msanii na labda kwasababu ana historia ya kuwa na pesa nyingi basi hata muziki anaufanya tu kama starehe. Kwa mujibu wa Citizen, taarifa hii ikufikie kama ni msanii na unahitaji kufanya collabo na Akothee basi unatakiwa kuandaa mfuko wako kisawasawa. Akothee ametangaza kiwango cha Pesa ambacho utatakiwa kumlipa ili uweze kuingia naye studio kuwa ni Shilingi Milioni 1 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi Milioni 21 za Tanzania. “ Ukiwa msanii, hautakiwi kukimbilia kusaini deal za record labels, uanweza kutengeneza pesa zako kuoitia social media. Usijikalishe na kusubiri pesa zije. Sasa kwa upande wangu wala usijisumbue kunipigia simu kama hauna shilingi Milioni 1 za kufanya collabo ,” – Akothee Akothee amesema anatafikiria kusaini deal na lebel za Marekani endapo tu zitak...