Skip to main content

EXCLUSIVE STORY||| MSANII BENSO AAMUA KATI YA WALE WATAKUA WANAPIGA SHOW ZA COUNTY PIA YEYE ATAKUA NDANI KWA HICHI ALICHOKIFANYIA COUNTY 001 YA MOMBASA.....SOMA HAPA ZAIDI.

Msanii BENSO anayetambulika sana kwa mtindo wake wa kufoka (Rapp) sasa ameamua hatoachwa tena nyuma na matamasha ya MOMBASA COUNTY akiwa ameshirikiana na KIGOTO pamoja na GEEGEE.
Starboy huyo aliweza kumchukua msanii mwenzake KIGOTO pamoja na mwanadada aliyejawa na sauti iliyo mshindaga ibilisi yaani mwenye sauti ya mvuto anayekwenda kwajina GEE GEE,tukikumbuka pia mwanadada huyo waliweza kushirikiana katika wimbo wakwanza uliokuwa unajulikana kama PHONTHO.

Round hii amekuja na kitu kipya kinachokwenda kwajina KARIBU MOMBASA ambapo ngoma hii imeweza kuandaliwa na vichwa viwili kutoka nchi tofauti apa namuongelea SHIRKO kutoka MKUBWA NA WANAWE (Tz) pamoja na BEATZBOY kutoka hapa nchini Kenya,Karibu Mombasa ni wimbo unaozungumzia Nakshi pamoja na Mahandhari ya mji huu unaojulikana kama COUNTY001.

Pakua Wimbo huo hapa Pamoja upate kuitizama video ya Mistari ya wimbo huo.

BONYEZA HAPA KUIPAKUA
Click hapa kuitazama video ya MISTARI ya wimbo huo.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..