Skip to main content

Posts

Showing posts from November 15, 2014

EXCLUSIVE NEW VIDEO "NIACHE NIKUPENDE" BY CYPREEZY....Watch it here

Msanii wa Hip Hop kutoka Mombasa/Kenya avunja ukimya wake baada ya kuachia video yake inayojulikana kama NIACHE NIKUPENDE ambapo nyimbo hio ameifanya katika studio za KELELE RECORDS chini ya producer TEKNIX. Pata kuitzama video hio hapa....