Skip to main content

Posts

Showing posts from August 5, 2015

YAMOTO BAND KUTETEMESHA MOMBASA KWA FUJO WEEKEND HII WAKIWA NA AMOURY BEYBY....Soma hapa zaidi

Kwa mara ya kwanza wasanii kutoka Bongo Tz watakuwa nchini ambapo watakuwa wanafanya tour yao ndani ya Jiji la Mombasa. Endapo hujawahi wasikiliza katika nyimbo zao unaweza ku-download hapa nyimbo yao mpya.. Wasanii YAMOTOBAND watakuwa wanaomgozana na msanii mkubwa anayetambulika kama AMOURY BEYBY anayetamba  na ngoma yake inayojulikana kwa jina SEEBENE ambapo watakuwa na show tatu kwa mpigo. Show yakwanza watakuwa katika mkahawa wa PATAPATA  ambapo ni 07|08|2015 Ya pili watakuwa ndani ukumbi wa MOMBASA SPORTS CLUBS ambapo ni tarehe 08|08|2015 Ya tatu itakuwa maeneo VOI katika ukumbi GALAXY ambapo itakuwa 09|08|2015