Skip to main content

YAMOTO BAND KUTETEMESHA MOMBASA KWA FUJO WEEKEND HII WAKIWA NA AMOURY BEYBY....Soma hapa zaidi

Kwa mara ya kwanza wasanii kutoka Bongo Tz watakuwa nchini ambapo watakuwa wanafanya tour yao ndani ya Jiji la Mombasa.

Endapo hujawahi wasikiliza katika nyimbo zao unaweza ku-download hapa nyimbo yao mpya..


Wasanii YAMOTOBAND watakuwa wanaomgozana na msanii mkubwa anayetambulika kama AMOURY BEYBY anayetamba  na ngoma yake inayojulikana kwa jina SEEBENE ambapo watakuwa na show tatu kwa mpigo.

Show yakwanza watakuwa katika mkahawa wa PATAPATA ambapo ni 07|08|2015

Ya pili watakuwa ndani ukumbi wa MOMBASA SPORTS CLUBS ambapo ni tarehe 08|08|2015


Ya tatu itakuwa maeneo VOI katika ukumbi GALAXY ambapo itakuwa 09|08|2015





Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..