Skip to main content

Posts

Showing posts from September 24, 2014

EXCLUSIVE: PATA KU DOWNLOAD WIMBO MPYA WA BROWN MAUZO CLASSIC "MBONA" ALIYOACHA VIDEO KWANZA ..Pata ku download hapa

Ni wimbo ambao unafanya vizuri zaidi katika media zote za hapa nchini na video yake iliweza kuzinduliwa pale TRIBEKA juma lililopita. Pata ku Download hapa chini..

EXCLUSIVE: VIDEO MPYA YA HUSSEIN MACHOZI ALIYOIFANYA KATIKA JUMBA LA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME "MIMI NA WEWE" ...pata kuitazama hapa.

Yupo kwenye orodha ya Wasanii ambao wanazo rekodi zao kwenye chati ya muziki wa bongofleva Tanzania na nchi jirani zinazocheza muziki wa kiswahili ambapo baada ya miaka kadhaa ya kuifanya bongofleva aliamua kuhamia hapa Kenya kutafuta mkwanja zaidi pia kuuongezea muziki wake ladha nyingine. Sasa hivi ataonekana sana kwenye kioo chako baada ya kutoa hii video mpya aliyoifanya Kigali Rwanda ambapo jina la video lilikua liwe ‘nimepona’ ila jamaa wakakosea na kuiandika ‘mimi na wewe’ ila sio kesi. Hussein Machozi amesema alipata nafasi ya kuifanya video hii kwenye nyumba ya Rais Paul Kagame kirahisi sababu producer wa hii single ni Mrwanda na hata yeye mwenyewe Hussein ana asili yaki Rwanda kwa upande wa mama mzazi, hivyo vyote vimesaidia kwake kupata nafasi hiyo. Rais Paul Kagame ambae ni miongoni mwa Marais wanaopenda sana kuwasaidia vijana ambae pia ana rekodi za kusaidia hata Wasanii wa nchi yake, huwa haishi kwenye hii nyumba bali familia yake. President Kagame aliwahi

WEMA SEPETU AWAKE HISTORIA KWENYE UZINDUZI WA YAMOTTO BAND KWA KUMWAGA HELA KIASI CHA HAJA..

  “MADAM…Madam…Madam…” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’. Tukio hilo limetokea ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo na kuweka historia kwa Wema kuwa staa wa kwanza ‘kumwaga’ fedha wakati wa uzinduzi wa bendi ya Yamoto. Awali, wakati bendi ya Yamoto ilipokuwa ikitumbuiza, ulifika wakati kiongozi wa bendi hiyo, Said Fella alitambulisha uwepo wa Wema kwa kudai amemuwakilisha bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivyo apande jukwaani na kusema chochote lakini mrembo huyo akasema kilichompeleka ukumbini hapo ni uzinduzi wa Yamoto Band. “Jamani nimekuja hapa kwenye uzinduzi wa Bendi ya Yamoto na siyo kumuwakilisha Diamond, ya huku hayamuhusu kabisa sasa semeni niwaimbie wimbo gani,” alisikika Wema Sepetu na kuanza kuimba wimbo wa Niseme ambao mashabiki waliupendekeza.

EXCLUSIVE: TIZAMA VIDEO MPYA YA SIS P AKIWA NA NICK MUMBA "MSUPA" ...Pata kuitazama hapa

  Baada ya kimya kirefu msanii wakike kutoka hapa Kenya SIS P akiwa na NICK MUMBA wamerudi tena na ujio wao mpya unayojulikana kama MSUPA ,kumbukla msanii SIS P alikuletea video na nyimbo iliyotamba kwa jina TABASAM na kwasasa amevunja ukimya huo na kukuletea video nyengine timamu zaidi akiwa ameshirikiana na NICK MUMBA. Pata kuitazama hapa...