
Baada ya kimya kirefu msanii wakike kutoka hapa Kenya SIS P akiwa na NICK MUMBA wamerudi tena na ujio wao mpya unayojulikana kama MSUPA,kumbukla msanii SIS P alikuletea video na nyimbo iliyotamba kwa jina TABASAM na kwasasa amevunja ukimya huo na kukuletea video nyengine timamu zaidi akiwa ameshirikiana na NICK MUMBA.
Pata kuitazama hapa...
Comments
Post a Comment