Skip to main content

Posts

Showing posts from September 5, 2014

DIAMOND PLATNUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO NNE ZA CHANNEL "O" ALMAARUFU KAMA CHOAMVA...Tizama hapa>>

Diamond Platinumz ametajwa kuwania vipengele vinne katika  Channel O Africa Music Video Awards (CHOAMVA) zitazofanyika Jumamosi, November 29 mwaka huu, Nasrec Expo Centre illiyoko Soweto, Afrika Kusini. Diamond ametajwa katika vipengele vya Most Gifted Video of The Year, Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted East. Wimbo wa Number One ndio umemuweza kwa kiasi kikubwa kupata neema hiyo. Hii ndio Orodha kamili ya Nominees.. MOST GIFTED MALE CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA DAVIDO – AYE RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE K.O. FT KID X – CARACARA SARKODIE – ILLUMINATI MOST GIFTED FEMALE THEMBI SEETE – THUNTSHA LEROLE BUCIE FT HEAVY K – EASY TO LOVE LIZHA JAMES FT UHURU – QUEM TI MANDOU TIWA SAVAGE FT DON JAZZY – EMINADO SEYI SHAY – IRAWO MOST GIFTED NEWCOMER DREAM TEAM FT TAMARSHA, AKA & BIG NUZ – TSEKEDE CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA EMMY GEE FT AB CRAZY & DJ DIMPLEZ – RANDS AND NAIRAS