Skip to main content

Posts

Showing posts from December 20, 2016

EXCLUSIVE AUDIO|||| QUEEN DARLING FEAT RAYVANY-KIJUSO IPATE HAPA...

Baada ya Queen Darling kupiga kimya ndani ya WCB ameamka na KIJUSO aliyomshirikisha RAYVANY pata kuipakua hapa. IPAKUE HAPA KIJUSO

EXCLUSIVE STORY|||JE AZMA YA YA NASSIZU MURUME KWENDA WCB BADO IKO? PATA STORY NZIMA HAPA

Nassizu ni msanii kutoka Meru/Kenya mwenye asili ya kipwani ambapo ni mmoja ya wasanii waliojaliwa na vocals na anapiga sana mtindo wa afro pop. Mapema mwaka huu Nassizu aliweza kuweka wazi kwamba yuko tayari kuhamia TZA na kujiunga na team nzima ya WCB na kuonekana amepiga picha ndani ya studio izo za WASAFI akiwa na muanzilishi wa Record lable hio hapa namzungumzia DIAMOND PLATNUMZ ambapo mitandao yote iliweza kuwataarifu mashabiki anahamia pande zile za +255. Nassizu ambaye kwasasa anatamba na nyimbo yake inayokwenda kwajina MAWAZO tuliweza kuwasiliana naye na kuweza kutudokezea kwamba azma yake kwenda W.C.B bado iko tena sana ila kuna vitu kadhaa ambayo management yake inayokwenda kwajina WATANASHATI CLASSIC bado inavishughulikia ndio akanyage kule akiwa kikamilifu " Si unajua lazima ujifue vizuri ndio uwende kule mpaka uwe na mikoba ya kueleweka maana nikienda WCB siendi kama Nassizu ila naenda kama Kenya " Tuliweza kumnukuu akiyasema hayo na kuongezea kwam

PARTY PEOPLE HII INA WAHUSU| HARRY GENIUS-HAPA KATI FEAT DRAFT AND HASHIZO......Pata kuitazama hapa

Harry Genius ni msanii wa Hip Hop kutoka chimbuko la Mombasa ambaye kwasasa anapania kuketia kiti cha Hip Hop baada ya KAA LA MOTO kupiga kimya cha mtu mzima je ataweza? GENIUS Kichupa chake cha kwanza kilijulikana kama SONGA alichomshirikisha msanii mkongwe Fat S ambayo iliweza kupokelewa vizuri na media zote na kufanya vizuri. Round hii amerudi tena na HAPA KATI nyimbo aliyoweza kuwapa shavu DRAFT pamoja na HASHIZO ambapo kwasasa ndio iko hewani inaendelea kutawala anga,imeweza kupikwa katika studio za THURNDER SOUND mkono wa SHERIFF ( MORBIZ ) kichupa kimeweza kongozwa na Director kutoka Nairobi anayekwenda kwajina EZRA MANANI. Pata kuitizama video hio mpya kwa kubonyeza link hapo chini " HAPA KATI "