Skip to main content

PARTY PEOPLE HII INA WAHUSU| HARRY GENIUS-HAPA KATI FEAT DRAFT AND HASHIZO......Pata kuitazama hapa

Harry Genius ni msanii wa Hip Hop kutoka chimbuko la Mombasa ambaye kwasasa anapania kuketia kiti cha Hip Hop baada ya KAA LA MOTO kupiga kimya cha mtu mzima je ataweza?

GENIUS Kichupa chake cha kwanza kilijulikana kama SONGA alichomshirikisha msanii mkongwe Fat S ambayo iliweza kupokelewa vizuri na media zote na kufanya vizuri.

Round hii amerudi tena na HAPA KATI nyimbo aliyoweza kuwapa shavu DRAFT pamoja na HASHIZO ambapo kwasasa ndio iko hewani inaendelea kutawala anga,imeweza kupikwa katika studio za THURNDER SOUND mkono wa SHERIFF (MORBIZ) kichupa kimeweza kongozwa na Director kutoka Nairobi anayekwenda kwajina EZRA MANANI.

Pata kuitizama video hio mpya kwa kubonyeza link hapo chini "HAPA KATI"

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..