Skip to main content

Posts

Showing posts from January 2, 2016

NEW AUDIO ALERT|ADELLE,HELLO{SWAHILI VERSION REPLY} BY SULTAN WA PWANI| LISTEN AND DOWNLOAD HERE...

Hii ni nyimbo mpya ya SULTAN WA PWANI ambapo ameweza kuiachia muda si mrefu inajulikana kama HELLO . Wimbo huo wa HELLO umeweza kutoka kwa msanii wakike anayejulikana kama ADELE ambapo haikuweza kugusa nyoyo za mashabiki tu bali ata za wasanii kutoka nchi mbali mbali,hii hapa ni ya SULTAN WA PWANI na imeketiwa chini na SHERIFF { MORBIZ }. Pata kuipakua hapa..

EXCLUSIVE NEW AUDIO GOSPEL: V.K.P FEAT RIGAN SARKOZI-PEREMENDE| LISTEN/DOWNLOAD HERE..

Pata ku download nyimbo mpya ya Gospel kutoka kwa V.K.P wakiwa wamemshirikisha RIGAN SARKOZI. Wimbo unajulikana kama PEREMENDE umeketiwa chini na produza anayefanya kazi yake na kuridhisha mashabiki apa namzungumzia SAINT P. Download hapa... Ama hapa Chini..