Skip to main content

Posts

Showing posts from November 1, 2014

EXCLUSIVE PHOTOS OF FALSAFA ZA MWENDA POLE ALBUM LAUNCH BY FIKRA TEULE....If you missed the event check the photos here

  Jana katika ukumbi wa ALLIANCE FRANCAISE  palichimbaka ambapo msanii wa HIPHOP anayejulikana kama FIKRA TEULE alikua anaachia album yake inayojulikana kama FALSAFA ZA MWENDA POLE,ambapo alikuwa  na wasanii wenzake wa HipHop kama OHMSLAW MONTANA,PETROOZE,ANONYMOUS VEDETTE na wengine wengi pamoja na Dj Elon kutoka Pwanifm. Hapo nyuma kulikwa na fununu zinazoenea kuwa mambo yakuachia album ni kitambo lakini msanii huyo FIKRA alisema hizo ni fikra potofu zilizo pitwa na wakati na kutia masikio pamba. Hizi ndio baadhi ya picha tulizofanikiwa kuzipata katika tamasha hilo.....

+20!!!!!!! MJAMAICA HUYU AWASHANGAZA WAKAAZI WA MOMBASA BAADA YA KUHISI JOTO JINGI NAKUAMUA KUTEMBEA HIVI....

WIZ KHALIFA AZUNGUMZIA SABABU ZAKE ZA KUTAKA KUACHANA NA BANGI WANAMUITA “WEED HEAD”..soma hapa

Kwenye Interview aliyofanyiwa Wiz Khalifa hivi karibuna anazungumzia kubadilisha mtazamo wa mashabiki na watu ju yake, Wiz anasema anampango wa kubadilisha muonekano wake ili uwe na mvuto wa kibiashara zaidi.  Wiz anasema "Sitaki tena watu wahusishe muziki wangu na marijuana" kama unakumbuka mixtape za kwanza za Wiz Khalifa kama ya mwaka 2010 Kush & Orange Juice,  Wiz anaendelea kusema "sipendi kuitwa kicha cha bangi "weed head" na nataka nifanye kazi bila kuandamwa na mtazamo huo wa kibangi bangi. Waigizaji wakubwa kwenye filamu hawana muonekano wa kibangi bangi sasa kwanini mimi niendekeze hii tabia, nitaacha kuimba kuhusu bangi na nampango wa kuacha kuvuta kabisa, Inaharibu muonekano wangu na mtazamo wa kazi zangu kwa watu" . 

HII NDIO GARI AMBAYO MSANII KCEE KUTOKA NIGERIA ANAMILIKI ILIYO NA RANGI YA DHAHABU…Tizama picha hapa…

Anaitwa Kcee  ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Nigeria. Ndio msanii pekee kutoka Afrika ambae ameweza fanya kolabo na Nicki Minaj. Mpya kutoka kwa jamaa huyu ni gari yake mpya aliyonunua aina ya Cadillac Escalade ikiwa na rangi ya Dhahabu. Hizi ni baadhi ya picha za gari na magari anayomiliki huku yote yakiwa ni ya gharama…

WEMA SEPETU ATOA MAJIBU YAKE KUHUSU YEYE KUMBUSU AUNTY EZEKIEL MDOMONI……yasome hapa.

  Picha zinazomuonyesha Wema Sepetu akimbusu rafiki yake Aunt Ezekiel zimeleta maswali mengi kutoka kwa watu wanaofuatilia maisha ya mastaa hawa, yakiwemo je ni wapenzi wa jinsia moja au walikuwa wamelewa wakati wanafanya mambo haya.   Kwenye Interview Wema alisema "Yes i kissed her like i kiss any person who is so close to me" Wema aliendelea kusema "Its not only her, i kiss my mum, my daughter, ma sister , people who are close to me i kiss them " Wema alisema kuwa kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa. "Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okey, its not ok kwa men to girls or men to men, kwa girls to girl kama u r close and attached, its ok, i kiss my mum and my sister on thier lips" alisema hayo