Picha zinazomuonyesha Wema Sepetu akimbusu
rafiki yake Aunt Ezekiel zimeleta maswali mengi kutoka kwa watu wanaofuatilia
maisha ya mastaa hawa, yakiwemo je ni wapenzi wa jinsia moja au walikuwa
wamelewa wakati wanafanya mambo haya.

Kwenye Interview Wema alisema
"Yes i kissed her like i kiss any person who is so close to me" Wema
aliendelea kusema "Its not only her, i kiss my mum, my daughter, ma sister
, people who are close to me i kiss them "
Wema alisema kuwa kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.
Wema alisema kuwa kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.
"Kissing on the lips kwa girls
to girls is very very okey, its not ok kwa men to girls or men to men, kwa
girls to girl kama u r close and attached, its ok, i kiss my mum and my sister
on thier lips" alisema hayo
Comments
Post a Comment