Skip to main content

Posts

Showing posts from September 6, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| KAA LA MOTO-MY VOICE MY CHOICE| DOWNLOAD AND LISTEN HERE..

Hayawi hayawi mwishowe huwa baada ya kuzungumziwa sana katika mitandaoni nyimbo mpya ya Kaa La Moto inayokwenda kwajina MY VOICE MY CHOIC E imeachiwa rasmi hii leo Wimbo huu umetengenezwa katika studio za SQ-RECORDS chini ya produza AMZ WA LEO . MY VOICE MY CHOICE DOWNLOAD HAPA.