Skip to main content

Posts

Showing posts from April 24, 2015

HAYA NDIO MANENO YA MOURINHO BAADA YA ZINEDINE ZIDANE KUONYESHA DALILI YA KUMTAKA EDEN HAZARD....soma hapa...

Zinedine Zidane ambae ni kocha wa  Real Madrid Castilla alikua quoted akisema kwamba  kuna wachezaji wengi anawaangalia sana, kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao ni wachezaji wazuri. Lakini pia anampenda sana Eden Hazars sana, anapenda kila kitu anachofanya uwanjani” Baada ya kusema hayo ikatilia mkazo wa story za Eden Hazard kutaka kuhamia Real Madrid. Jose Mourinho akiwa kwenye press conference alizungumzia hii ishu. “Tumetoka ku-saini mkataba na yeye(Eden Hazard) hadi mwaka 2021. Hatukumuwekea silaha kichwani ili asaini huo mkataba. Sidhani anahitaji kwenda huko (Real Madrid)”. Eden Michael Hazard ana umri wa miaka 24 kabla ya kuwa Chelsea alicheza club ya LIle akitokea kwenye mechi 147 na kufunga goals 36. Baada ya Chelsea alitokea kwenye mechi mara 101 na kufunga magori 36. Real Madrid Castilla ni timu ya Real Madrid inayoshiriki Division B, Zinedine Zidane ndie e manager wa timu hii na pia anahusika kwa kiasi kikubwa kwenye timu nzima ya Real Madrid.

EXCLUSIVE VIDEO| TWENTY TWO-MCHUMBA | WATCH THE NEW VIDEO HERE..

Baada ya msanii TWENTY TWO   kukaa katika maeneo ya Pwani yaani Coast chini ya uongozi wa EMMY DEE kwasasa mbawa zake zimefunguka na kuruka hadi maeneo ya NAIROBI ambapo kwasasa msanii huyo amenyakuliwa na uongozi wa JOMINO. Twenty Two kwasasa yuko chini ya uongozi wa JOMINO  ambapo JOMINO ndio iliweza kuta baadhi ya wasanii waitajika kutoka hapa Kenya tukianza na msanii anayejulikana kama D.N.A kabla ya kuchukuliwa na GRANDPA. Baada ya kusajiliwa na lebo hio ya TWENTY TWO ametoa video ya kwanz akiwa chini ya uongozi huo ambapo video hio imeweza kuketiwa chini na OGOPA VIDEOS cha kushangaza ni kwamba nyimboa liokua ameitengeneza kipindi cha nyuma ivi ndio imeweza kuregelewa kwa beat nyengine ivi mtindo wa KAPUKA. Hii ndio video mpya MCHUMBA  ya TWENTY TWO pata kuitizama kwa kubonyeza hapa chini...

EXCLUSIVE VIDEO| KAA LA MOTO FEAT JOHNNY SKANNY-K.L.M| KENYA LOCAL MUSIC IS DEAD| WATCH IT HERE..

For a while there has been a talk about the local music being dormant or in another words,  dead. Just to make a point, Coast's most controversial artist Kaa la moto decided to release a song that touched so much on the whole topic. Radio presenters and Djs had their own say and today THEGREATMULLEY exclusively launches the song here. Watch it here...