Skip to main content

HAYA NDIO MANENO YA MOURINHO BAADA YA ZINEDINE ZIDANE KUONYESHA DALILI YA KUMTAKA EDEN HAZARD....soma hapa...


Zinedine Zidane ambae ni kocha wa  Real Madrid Castilla alikua quoted akisema kwamba  kuna wachezaji wengi anawaangalia sana, kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao ni wachezaji wazuri. Lakini pia anampenda sana Eden Hazars sana, anapenda kila kitu anachofanya uwanjani”
Baada ya kusema hayo ikatilia mkazo wa story za Eden Hazard kutaka kuhamia Real Madrid. Jose Mourinho akiwa kwenye press conference alizungumzia hii ishu.
“Tumetoka ku-saini mkataba na yeye(Eden Hazard) hadi mwaka 2021. Hatukumuwekea silaha kichwani ili asaini huo mkataba. Sidhani anahitaji kwenda huko (Real Madrid)”.
Eden Michael Hazard ana umri wa miaka 24 kabla ya kuwa Chelsea alicheza club ya LIle akitokea kwenye mechi 147 na kufunga goals 36. Baada ya Chelsea alitokea kwenye mechi mara 101 na kufunga magori 36.
Real Madrid Castilla ni timu ya Real Madrid inayoshiriki Division B, Zinedine Zidane ndie e manager wa timu hii na pia anahusika kwa kiasi kikubwa kwenye timu nzima ya Real Madrid.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..