Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO| TWENTY TWO-MCHUMBA | WATCH THE NEW VIDEO HERE..


Baada ya msanii TWENTY TWO  kukaa katika maeneo ya Pwani yaani Coast chini ya uongozi wa EMMY DEE kwasasa mbawa zake zimefunguka na kuruka hadi maeneo ya NAIROBI ambapo kwasasa msanii huyo amenyakuliwa na uongozi wa JOMINO.

Twenty Two kwasasa yuko chini ya uongozi wa JOMINO  ambapo JOMINO ndio iliweza kuta baadhi ya wasanii waitajika kutoka hapa Kenya tukianza na msanii anayejulikana kama D.N.A kabla ya kuchukuliwa na GRANDPA.

Baada ya kusajiliwa na lebo hio ya TWENTY TWO ametoa video ya kwanz akiwa chini ya uongozi huo ambapo video hio imeweza kuketiwa chini na OGOPA VIDEOS cha kushangaza ni kwamba nyimboa liokua ameitengeneza kipindi cha nyuma ivi ndio imeweza kuregelewa kwa beat nyengine ivi mtindo wa KAPUKA.

Hii ndio video mpya MCHUMBA  ya TWENTY TWO pata kuitizama kwa kubonyeza hapa chini...


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..