Skip to main content

EXCLUSIVE PHOTOS OF FALSAFA ZA MWENDA POLE ALBUM LAUNCH BY FIKRA TEULE....If you missed the event check the photos here



Jana katika ukumbi wa ALLIANCE FRANCAISE  palichimbaka ambapo msanii wa HIPHOP anayejulikana kama FIKRA TEULE alikua anaachia album yake inayojulikana kama FALSAFA ZA MWENDA POLE,ambapo alikuwa  na wasanii wenzake wa HipHop kama OHMSLAW MONTANA,PETROOZE,ANONYMOUS VEDETTE na wengine wengi pamoja na Dj Elon kutoka Pwanifm.

Hapo nyuma kulikwa na fununu zinazoenea kuwa mambo yakuachia album ni kitambo lakini msanii huyo FIKRA alisema hizo ni fikra potofu zilizo pitwa na wakati na kutia masikio pamba.

Hizi ndio baadhi ya picha tulizofanikiwa kuzipata katika tamasha hilo.....






















Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..