Skip to main content

WIZ KHALIFA AZUNGUMZIA SABABU ZAKE ZA KUTAKA KUACHANA NA BANGI WANAMUITA “WEED HEAD”..soma hapa





Kwenye Interview aliyofanyiwa Wiz Khalifa hivi karibuna anazungumzia kubadilisha mtazamo wa mashabiki na watu ju yake, Wiz anasema anampango wa kubadilisha muonekano wake ili uwe na mvuto wa kibiashara zaidi. 

Wiz anasema "Sitaki tena watu wahusishe muziki wangu na marijuana" kama unakumbuka mixtape za kwanza za Wiz Khalifa kama ya mwaka 2010 Kush & Orange Juice, 

Wiz anaendelea kusema "sipendi kuitwa kicha cha bangi "weed head" na nataka nifanye kazi bila kuandamwa na mtazamo huo wa kibangi bangi. Waigizaji wakubwa kwenye filamu hawana muonekano wa kibangi bangi sasa kwanini mimi niendekeze hii tabia, nitaacha kuimba kuhusu bangi na nampango wa kuacha kuvuta kabisa, Inaharibu muonekano wangu na mtazamo wa kazi zangu kwa watu" . 

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..