Skip to main content

EXCLUSIVE: VIDEO MPYA YA HUSSEIN MACHOZI ALIYOIFANYA KATIKA JUMBA LA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME "MIMI NA WEWE" ...pata kuitazama hapa.

Screen Shot 2014-09-23 at 9.00.34 AM


Yupo kwenye orodha ya Wasanii ambao wanazo rekodi zao kwenye chati ya muziki wa bongofleva Tanzania na nchi jirani zinazocheza muziki wa kiswahili ambapo baada ya miaka kadhaa ya kuifanya bongofleva aliamua kuhamia hapa Kenya kutafuta mkwanja zaidi pia kuuongezea muziki wake ladha nyingine.
Sasa hivi ataonekana sana kwenye kioo chako baada ya kutoa hii video mpya aliyoifanya Kigali Rwanda ambapo jina la video lilikua liwe ‘nimepona’ ila jamaa wakakosea na kuiandika ‘mimi na wewe’ ila sio kesi.
Hussein Machozi amesema alipata nafasi ya kuifanya video hii kwenye nyumba ya Rais Paul Kagame kirahisi sababu producer wa hii single ni Mrwanda na hata yeye mwenyewe Hussein ana asili yaki Rwanda kwa upande wa mama mzazi, hivyo vyote vimesaidia kwake kupata nafasi hiyo.
Rais Paul Kagame ambae ni miongoni mwa Marais wanaopenda sana kuwasaidia vijana ambae pia ana rekodi za kusaidia hata Wasanii wa nchi yake, huwa haishi kwenye hii nyumba bali familia yake.
Screen Shot 2014-09-23 at 8.59.22 AM
President Kagame aliwahi pia kumsaidia mmoja kati ya Wasanii vijana wa Rwanda lakini mwaka huu msanii huyo ameingia kwenye kashfa ya kutaka kuipindua nchi ikiwemo kumpindua madarakani Rais Paul Kagame mwenyewe.

Unaweza kuitazama video hio hapa chini..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..