KITENDO CHA WAGENI WALIOMO NCHINI SOUTH SUDAN KUFURUSHWA CHAMKASIRISHA MSANII BEBE COOL KUTOKA UGANDA...SOMA ALICHO KIANDIKA HAPA
Msanii kutoka nchini UGANDA anayefahamika kama BEBE COOL akasirishwa na onyo liliotolewa na nchi ya SOUTH SUDAN kuwa wageni ama wafanye kazi wote waliomo nchini uko wahame na kurudi katika nchi zao ambapo walidai kuwa wanaweza kujifanyia kazi wenyewe kwasasa.
Kitendo hicho kimemkasirisha BEBE COOL hadi kuandika ujumbe wa uchungu kupitia ukurasa wake wa facebook ambapo alidai kuwa hataki kuona mwananchi yeyote kutoka taifa hilo akihudhuria tamasha lake popote pale.
Soma alichokiandika hapa

Hii ni baada ya taifa hilo kuagiza wafanyekazi wote waliomo katika nchi hio kuhama pindi itakapo fika tarehe kumi na tano mwezi wa kumi mwaka huu.
Comments
Post a Comment