MTANGAZAJI WA PWANIFM DAVID MTANA WA MWARINGA HUENDA AKAWANIA KITI CHA WARD-REP MWAKA WA 2017..soma zidi hapa
Mtangazji wa PwaniFm kwenye kipindi cha Uchambuzi wa magazeti na swala Nyeti kinachoendeshwa na David Mtana Wa Mwaringa akiwa na Mkanyika Jilo kila Asubui,Mwaringa huenda mwaka 2017 akawania kiti cha Ward ya KAMBE VITUNI ambapo ni eneo anapoishi.
Mwaringa alidhibitisha haya katika mtandao wake wa Facebook mapema wiki iliyo pita nayo THE GREAT MULLEY ililivalia njuga swala hilo lake na kumfuata hadi anapofanya kazi ili kujua kwamba ni kweli ama ilikuwa ni matana.
THE GREAT tulipata nafasi yakumuhoji mtangazaji huyo na kufunguka ya kuwa yeye hana utani wowote na swala hilo na ameamua kuwa atagombea kiti hicho tulimuuliza ni nini haswa kilicho mvutia hadi kutaka kuwania kiti hicho "HILI SWALA SIO ATI MIMI NDIO NATAKA TU ILA NI WANACHI WA KAMBE VITUNI DIO WANATAKA NIPIGANIE KITI HICHO NA KUTAKA NIWAOKOE KATIKA JANGA WALILIOMO KWASASA MAANA WANANIAMBIA IKIFIKA MWAKA WA KURA MAMBO YATAKUWA YAMEHARIBIKA ZIDI HIVO BASI KUTAKA MIMI NIGOMBEE KITI HICHO NI OPINDI NIKIINGIA MAMLAKANI BASI SITAWATUPA MAANA WAO NDIO WANANITAKA SITAWEZA KUWATUPA NA NITAHAKIKISHA ELIMU KATIKA ENEO LILE IMEIMARIKA ZIDI NA MAENDELEO YATAKUWA MENGINE KWA MAANA ENEO LILE NAONA WATU WANATESEKA SANA NA WABUNGE WAKO KULE NA MIMI NINAAMINI KUWA NAWEZA KAZI HIO, NA NITATEKELEZA MATAKWA YAO KAMA VILE VISIMA VYA MAJI AMBAPO VIKO HATUO NDEFU SANA IVO BASI NAONA WAKIPATA SHIDA SANA" Alisema hayo.
David aliweza kutwambia kuwa yeye alikua na azima ya kuwania kiti chochote katika serekali na kutoa maendeleo katika nchi hii wiki ilio pita mtangazji huyo aliweza kuandika haya kupitia mtandao wake "Nataka kuwa kiongozi mwenye siasa safi, siha njema na bongo kali, na kujinyima kwa maslahi ya umma ili kuleta maendeleo mashinani......Mtana wa Mwaringa (ward-rep) kambe/Ribe ward 2017" Aliweza kuandika hayo.
Mwaringa akiwa na mke wake Sally Kadzo

traninatru Kelly Smith Free Download
ReplyDeleteourbarsaebelg