Skip to main content

HII NDIO MELI ILIYO HARIBIWA BAHARINI BAADA YA KUSHUKIWA NA MIHADARATI..tizama hapa

Hii leo katika bahari Hindi Meli iliyokuwa imebeba madawa ya kulevya aina ya HEROIN yaliyo na dhamani ya Billion Moja "Sh1bn"imeharibiwa deep seea baada ya agizo hilo kutolewa na Rais Uhuru Kenyatta.

Wakati huo huo Meli hio ikiharibiwa Rais alikuwa juu ya ndege akiitizama Meli hiyo ilivyo kuwa inateketea huku washukiwa waliokuwa wamebeba madawa hayo wakiwa bado wamezuiwa katika Port police Station Mombasa.

Hii ndio picha ya Meli hio ikiwa inateketezwa.
Pic By Elakana Jacob.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..