Baada ya kushirikiana katika nyimbo yao ya mwaka jana iliojulikana kama DON'T CRY waimbaji kutoka Uganda RADIO and WEASEL wameshirikiana tena na WIZKID kutoka Nigeria nkutoa nyimbo inayokwenda kwa jina "NIPE KINFUNGUO YAKO".
Katika wimbo huu wakali hao wamejaribu kuimba lugha ya kiswahili hapo ndani.
Ipate hapa..
Comments
Post a Comment