Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| VIDEO MPYA YA BENSO NA KIGOTO IMEZUIWA KWANINI? HII HAPA SABABU PAMOJA AKIELEZEA NI KWA UNDANI ZAIDI

THEGREATMULLEYMEDIA ipo karibu na wewe kila siku ili kukuekea story zinazochipuka na zilizo na uhakika usisahau Subcribe YouTube Channel yetu kwa kubonyeza hapa BONYEZA HAPA upate video na Updates kila siku.

Katika pitepite zetu tuliweza kukumbana na Story ambazo kwa ukweli zilitubidi tumtafute muhusika ambaye ani msanii ambae anakwenda kwa mtindo wa ku rap anayejulikana kama BENSO.


BENSO ni msanii kutoka jiji la Mombasa ambaye aliweza kukuletea track kama vile IMEREMENDE,DANCE NA SHIRO pamoja na zengine nyingi tu,Hivi majuzi msanii huyu aliweza kuandaa video yake mpya inayokwenda kwa jina SHWARE ambayo alimshirikisha msanii mkali wa sauti anayjulikana kama KIGOTO na track hio iliandaliwa katika studio za NUMBER ONE RECORDS chini ya Hit maker TKMBILI,fununu na habari zilisambaa kwamba video hio ya Benso akiwa na Kigoto imeweza kuzuiwa kwasababu ilinukuu picha ambazo haziendani na maadili ya jamii iliottuzunguka kwani iliweza kuwa na picha chafu chafu TGMM tuliweza kumfuata msanii huyu ilikujua undani zaidi maana bado hio video haijaonekana katika Youtube yake.


"Kiukweli hizo taarifa sio sahihi kwani hio video yangu hata bado sijaiachia na hakuna mtu ameiona isipokua mimi tu na director THOME,Kile nimepanga nikwamba nikiiachia sitaki kuiachia kama vile nimeachia izo video na nyimbo zengi hii itakua kubwa zaidi nataka kuaichia East Africa nzima lakini bado management yangu haijaamua kwasababu nataka iwachiwe kutoka Tanzania kuingia Kenya ama Uganda kuingia Kenya nitaifanyia media tour ya Afrika Mashariki nzima" Maneno ya Benso hayo.

Pia aliweza kutudokeza kwamba kuna nyimbo pia ameweza kuifanya na mrembo flani ivi ambayo pia atakua anaiachia muda sio mrefu "Kuna kazi nimeifanya na mrembo  kwasasa bado sijajua nitamueka mrembo gani lakini ni kutoka hapa Mombasa,kwasasa bado tunaipanga ngoma hio na produza wangu ambae ni TKMBILI na kuna ngoma nyengine ambayo nimeweza kushirikishwa na wasanii wawili wenye sauti kutoka hapa Mombasa ambaye ni KIGOTO pamoja na IDD SINGER"

Pamoja na hayo msanii huyo ameweza kutengeza site yake ambayo anauza miziki yake hapo ndani ambayo inajulikana kama NGOMA KENYA bonyeza hapa kuipata--->> NGOMA KENYA.

Hiki ndio kipande kidogo cha ngoma yake tulichokinasa.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.