Skip to main content

RICHIE REE NA CHIKUZEE WAMDISS FAT-S KATIKA NGOMA YAO MPYA MZIKI KWA KAZI YAKE YA KUUZA CD FERRY....Soma zaidi hapa



Kumekua na ugomvia katika mziki wa Mombasa kwa majuma kadhaa ikiwa malumbano yalikuwa baina ya wasanii wawili walio fanya kolabo mbili HIDAYA na NGOMA ITAMBAE zilizofanya vizuri hapa nchini apa namuongelea CHIKUZEE na SUSUMILA.

Lakini hapo jana pamezuka stori nyengine tofauti ambapo msanii CHIKUZEE aliamua kumchana FAT-S katika nyimbo hio swali ni je bado bifu yao inaenedelea maana ni muda sasa tangu bifu yao kusahaulika,Katika nyimbo hio ilioachiwa hapo jana ya RICHY REE akimshirikisha CHIKUZEE unaojulikana kama MZIKI kuna mstari ndani ya wimbo huo tukimnukuu CHIKUZEE katika nyimbo hio "WENGINE TUNAWAONA WAKIUZA CD's BARABARANI".


Ikiwa ni sote tunajua kwamba ni msanii FAT-S ndiye anayezungusha kopi zake za CD barabarani na ukitaka kumpata sana sana anapoziuzia Cd zake nikatika kivukio cha FERRY,je ni kwamba wasanii hao wamemchoka FAT-S kwa kazi yake ya kuuzi Cd zake katika kivukio hicho cha FERRY?.

Kuiskiza na kui-Download ngoma hio ipate hapo chini..

BONYEZA HAPA KUIPATA


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..