EXCLUSIVE:DOWLOAD WIMBO MPYA WA SHINEY AKIWA AMEMSHIRIKISHA DAZLAH KIDUCHE UNAOJULIKANA KAMA "ILINGI" Download apa

Kwa mara hii msanii huyo wa kike kutoka hapa mkoani amekuja tena na ngoma ambayo inaendelea kugusa nyoyo za wengi inayojulikana kama "ILINGI" ambapo amemshirikisha hit maker wa BANGEREBA anayejulikana kama DAZLAH KIDUCHE.
Pata kuskiza nakudownload wimbo huo hapa chini...
Comments
Post a Comment