Skip to main content

EXCLUSIVE YA TGM|||| JE CHIKUZEE NA C-NEW WAMEUNDA KUNDI LAO NA KULIPA JINA LA TAM TAM FLAVAS?? Soma hapa zaidi

Katika siku za hivi karibuni wasanii hawa wawili wameonekana wakiwa pamoja kila mahali tangu waachie track yao ya UMENUNA BURE.

Katika maojiano y moja kwa moja wawili hao waliweza kunidokezea kwamba wao ni rafiki wakaribu sana na hivyo basi ndio maana kila maana unapomuona CHIKUZEE yuko mbele basi C-NEW atakua yupo nyuma na wao sio rafiki tu bali pia ni wanabiashara ndio maana kila maana wako pamoja na ata hii ngoma ya pili wamefanya sio ati ni kundi ila wanapenda kufanya kazi pamoja na ndio maana wakamshirikisha hadi B.I ili flava izidi,"kuna nyimbo yetu yapili mimi na mwenzangu CHIKUZEE tumefanya chini na prodyuza B.I na pia ameeka sautu nyimbo inaitwa DUNIA NZIMA imetoka na kwasasa iko Youtube unaeza kuitizama sio ati mimi na Chiku ni kundi la hasha sisi ni marafiki tu na tunapenda kufanya kazi pamoja" C-New alidokeza hayo

Pata kuitizama nyimbo yao inayokwenda kwajina DUNIA NZIMA video hio imeongozwa na director kutoka humu nchini anakwenda kwajina la LIL GUY G.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..