Skip to main content

THE AWARD WINNING ARTIST AFUNGUKA KUWA HAFANYI MUZIKI USHINDANI AMA KUSHINDANA NA WASANII WENZAKE ILA KUFAIDISHA MAFANS NA KUSAIDIA JAMII Soma hapa zaidi

Ni msanii aliyeshinda tuzo yaTHE BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR”,mwaka jana katika tuzo za KENYA  COAST  MUSIC AWARDS zinazoongozwa na BEYONCE.


Akiongea na THE GREATMULLEYMEDIA mapema wiki hii aliweza kutudokezea kwamba yeye ni mmoja ya wasanii wakongwe na wanaofanya mziki mzuri ivo basi yeye anafanya mziki kuelimisha jamii pamoja na kuisadia jamii na sio kwenye maswala ya ushindani ama ubishow.

Hit maker huyo wa PESA anayekwenda kwajina la JAFARYZOH A.k.a RYZLEEN alisema pia hivi karibuni ndani ya mwezi huu wanne atakua anafungua mradi wake ambao itakua anazuru katika nyumba za mayatima yaani orphanage kusaidia wasio jiweza pamoja na wale ambao wazazi wao wameweza  kutokomea kwa janga la ukimwi ivyo basi yeye anafanya kwaajili ya jamii ila sio sifa za kuchezwa katika vituo uku jamii inaangamia alisema uwezo alionao atautumia kusaidia wasicho nacho.

Mwezi huu wanne pia ndio atakua anashoot vieo ya wimbo ambao meuachia unaokwenda kwajina MAPENZI KIDONDA aliyomshirikisha mkongwe C.L.D.

Msanii huyo pia kwasasa yuko katika harakati ya kununua vyombo vya ku shoot video ili pia kusaidia wasanii wenzake ambao wako vizuri kuimba ila maswala ya kutoa video yanawatatiza,kwasasa ameweza kuagiza RONIN camera GH4 pamoja na drone


Pata kuupakua wimbo huo kwa link hii hapa chini.
DOWNLOAD HERE

Video yake ya PESA ndio hii hapa

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.