Skip to main content

EXCLUSIVE STORY||||JE MSANII KUTOKA MOMBASA CHIKUKU A.K.A CHIKUZEE AMESAJILIWA KATIKA STUDIO Z A W.C.B AMA A MEENDA MATEMBEZI KATIKA RECORD LABLE HIO YA WASAFI? Patakujua kwakubonyeza hapa.,

Wiki hii msanii aliyetamba sana katika mitandao ya kijamii na kuwa gumzo mtaani ni msanii kutoka kisiwa cha Mombasa anayekwenda kwajina CHIKUZEE.kwakupiga picha na wsafi.
Kama tunavyojua kila msanii anandoto zake ana anahitaji zitimie na kiukweli W.C.B ndio Record lable ambayo kila msanii anakiu cha kuingia ili kupiga kazi na Wasafi hasa wasanii kutoka MOMBASA ,Wiki hii tuliweza kukumbana na picha za msanii CHIKUZEE akiwa ndani ya WCB japo katika picha izo hajaweza kuweka caption ya kuwa amesajiliwa kwasababu kama tunavyojua na desturi ya USAFINI ukigonga kalamu katika papers zao kitu cha kwanza unaingia katika mitandao yao mwanzo wa manager mkuu hapa namzungumzia SALLAM SK ukipenda BOSS MENDEZ pili BABU TALE tatu ndio unaingia katika mtandao wa starboy kutoka Afrika Mashariki ambaye kwasasa mtandao wake umegonga followers Milioni tatu nukta tano yaani  3.5M. apa namzungumzia SIMBA.
Cha kushangaza na kustaajabisha kweli tumemuona CHIKUZEE ndani ya W.C.B ila hatujajua kama amesajiliwa na lau angekuwa amegonga kalamu WASAFINI basi tungeweza kukumbana na picha zake katika akaunti za wasafi wote kama alivyofanyiwa RICH MAVOKO,HARMONIZE pamoja na RAYVANY .


 THE GREAT MULLEY tunaweza kusema wameenda kushughulikia ile colabo yake na DIAMOND PLATNUMZ  ambayo waliweza kuhaidiana kutoka mwaka wa 2015 SIMBA alivyokuja kupiga show katika mkahawa wa FLAMINGO kwasababu mwezi jana CHIKUZEE aliweza kuunganishwa tena na DIAMOND kwa njia ya simu na MZAZI WILLY M TUVA ndani ya ya Kipindi cha MAMBO MSETO (RADIO CITIZEN)




Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.