Baada ya kimya kirefu msanii mkali kutoka Kenya ALLY B ameamua kuvunja kimya chake ambapo ameamua kuangusha kichupa kipya akiwa amemshirikisha mtu wake wa karibu ambaye ni msanii anayefanya mtindo wa rapp anayejulikana kama PERU.
Kumbuka Peru amekuwa akishirikishwa katika video nyingi za msanii Ally B ambapo kwasasa wameweza kuachia video yao mpya inayojulikana kama MUSIC.
Pata kuitazama video hio hapa...
Comments
Post a Comment