Skip to main content

MSANII EDDY TICHA AAMUA KUVUNJA UKIMYA WAKE NA HAYA NDIO MANENO YAKE....




Msanii kutoka hapa Mombasa kwa Jina EDDY TICHA aliweza kwenda chini ya maji zaidi na kwasasa ameamua kurudi tena kwa kishindo.


Eddy Ticha ni msanii kutoka kundi la WATASH ambapo yeye ndio kwasasa anayeliweka juu kundi hilo baada ya wenzake kuenda chini ya maji na kufanya shughuli zengine mbali na mziki.

Kabla kupiga kimya hicho msanii huyo alikua ameachia ujio wake ulijulikana kama MISS_ANGELA ambapo ulipata airplay nzuri zaidi katika vituo vya humu nchini, Thegreatmulley tuliweza kuongea na msanii huyo na kuaidi kwamba amekuja na njia nyengine tofauti na yuko tayari kupambana na mziki na kuachana na mambo mengine "Kwasasa nimeamua ni mziki tu na nimeachana shughuli zengine" Alisema Eddy Ticha,tuliweza kumuuliza kama amepata management "Hehehe hilo swala bado liko chini ya maji na hivi karibuni mafans wangu watajua tu" alijibu
Msanii huyo wikendi hii atakua anaachi nyimbo yake inayojulikana kama MAPIGO_YA_MOYO akiweza kuiachia utakuwa wakwanza kuipata hapa katika thegreatmulley.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..