Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| AMOURY BEYBY ASEMA KWAMBA SAA HII AWACHII NYIMBO MOJA TENA MWAKA MZIMA NA KUDAI KUWA HATOLAZA DAMU TENA KATIKA MUZIKI...Soma hapa zaidi

Ikiwa kila msanii katika mziki wake kuna vile anapanga nyimbo zake pamoja na utoaji wa nyimbo zake wengine ni baada ya mwezi mmoja wengine baada ya wiki wengine miezi mitatu lakini kwa msanii AMOURY BEYBY ama ukipenda ARTIST001 ni tofauti yeye huachia nyimbo moja mwaka mzima yaani kila mwaka wimbo mmoja.

Katika pitepite zetu THEGREATMULLEYMEDIA tuliweza kukutana na ARTIST001 na kutoa kikohozi kilichokua kinamnyonga,tukijua kwamba kwasasa ameachia nyimbo yake ambayo inasumbua katika radio AMOURY alidai kwamba saa hii mashabiki zake hawatongojea tena mwaka mzima ndio wamsikie katika radio La! kila baada ya miezi mitatu atakua anadondosha nyimbo mpya pamoja na video yake.

"KIUKWELI NIMEKUA NIKIACHIA NGOMA ZANGU KILA NGOMA MWAKA MMOJA LAKINI KWASASA TEAM001 HAWATONGOJEA TENA MUDA HUO MREFU SAA HII KILA BAADA YA MIEZI MITATU NITAKUWA NAWAANGUSHIA NYIMBO NA KICHUPA CHAKE" Alisema Amoury.


Aliongezea kusema kwamba kilichokua kinamueka chini na kufanya ngoma moja mwaka mmoja ni kwamba alikuwa kidogo yuko nje ya nchi kununua vyombo vyakufanyia video kama vile,RONIN,DRON,CRAIN pamoja na RED CAMERA na kwasasa vyombo vyote hivyo ameshaviweka mkono na anakodisha kwahivyo saa hii muda wake mwingi utakua kwenye mziki hivyo basi wewe shabiki wake kaa mkao wa kula kwani ni kila baada ya miezi mitatu.


Hii Hapa nyimbo yake MPYA ya SPONSOR ANALEA

BONYEZA HAPA KUIPAKUA

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..