Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| WYNAS ADAIKWAMBA KUTOWEKWA KWENYE AWARDS HAKUWEZI KUFANYA NDOTO ZAKE ZIDIDIMIE BALI KUMEMPA CHANGA MOTO KUBWA YAKUFANYA KAZI NZURI ZAIDI.....Soma Hapa

Kila mmoja akiskia jina WYNAS sio geni katika maskio yake kama hajamskia katika radio basi atakua keshamuona katika runinga ama kumuona katika mtandao ivo basi sio mgeni kwetu.
WYNAS ni mmoja ya wasanii wazuri sana kisauti na katika kushika mike na mashairi yake ni mashairi mazuri na yaliokwenda shule,chakushangaza ni kwamba msanii huyu katika mziki mpaka saa hii anamwaka wa WANNE na hajawahi kuteuliwa katika tuzo (AWARDS) amakinyang'anyiro chochote yaani kama vile ametengwa.

MApema leo hii hit maker huyu wa KITORIRO na SARE SARE aliweza kufunguka yamoyonintukizingatia ni kwamba kuna TUZO ambazo kwasasa za MOMBASA AWARDS2016 zinaendelea na msanii huyu ni mmoja ya wale ambao hawakuteuliwa katika kitengo chochote,

Wynas alisema kwamba yeye kutoteuliza katika tuzo hizo hazijamfanye afae maji na aache mziki kwani ni tuzo nyingi zimefanyika na yeye ameekwa nje kwahivyo haijamtishia hata kidogo na pia imempa nguvu ya kufanya kazi zaidi kwani inaonekana kuna kitu bado hajatimiza katika mziki wake na wenzake wametimiza hivyo basi anakifanyia kazi kitu icho japo kuwa yeye mwenyewe hakijui.



"MIMI KUTOTEULIWA KATIKA TUZO HIZO HAKUJANIFANYA NIFE MOYO NA NIACHE MZIKI KWANI NI MAMBO AMBAYO NIMEYAZOEA MAANA MIMI NINA MIAKA MINNE KATIKA MZIKI LAKINI SIJAONA TUZO YOYOTE NIMEEKWA, KIKUBWA ZAIDI MIMI NAZIDI KUFANYA BIDII KATIKA MZIKI WANGU ILI MASHABIKI WANGU WAFURAHIE NA NILETE HESHIMA NYUMBANI KWAHIVYO HILO JAMBO LINAVUNJA MOYO SANA ILA MIMI SINA ISHU NA MTU YOYOTE MAANA WAO NDIO WALIO PANGA NA SIJUI WALITUMIA NJIA GANI KUPANGA TUZO IZO CHAMSINGI NI KWAMBA MIMI NIKO NYUMA YAO WALE WOTE WAIOTEULIWA NA NAZID KUWAOMBEA MUNGU IVOO TU". Alisema hayo Msanii Wynas



Aliongeza kwamba yeye atafanya kazi nzuri na nyingi zaidi ili kufikia malengo yake na kutimiza ndoto zake na wala hajakata tamaa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.