
Hapa mkoani pwani kulingana na vituo tofauti vya radio na mitandao tofauti hizi ndizo nyimbo inazochafua anga ya mkoa huu ukuzikiwa na wingi wa mashabiki.
Ndizo hizi hapa chini
10-ohmz law montana ft simple boy-poleni
09-Lypso ft churchil n various artistl-mdogo mdogo remix
08- sudi boy ft amelina-naona bado
07-sleem g-mama
06-miss gg ft benso-l do
05-shelphad-mdogo mdogo
04-Dogo richie-Hayana mjuzi
03-dazlah-bangereba
02-amourybeiby ft nyota-baridi
01-jovial-chanda chema

Comments
Post a Comment