Baada ya NDINDINDI comando Jide almaarufu kama Lady Jaydee amekuletea hii hapa nyengine inayokwenda kwa jina SAWA NA WAO.
Kumbuka hii ni baada ya kutangaza rasmi kwamba kila baada ya miezi mitatu atakua anadondosha ngoma mpya na hii ndio yakwanza inayofungua njia hio.
Hii Hapa nyimbo hio pata kuidownload hapa.

Comments
Post a Comment