Skip to main content

JE WAJUA KWAMBA SUSUMILA NDIO CHANZO CHA KELECHI AFRICANA KUKUTANA NA ATHMAN BABAZ C.E.O WA "KUBWA ENT"

Kiukweli wasanii wengi wadogo wakiingia katika mziki hujawakabadilika na kuwa watu wengine tofauti katika jamii na kusahau ata walio washika mkono na kuwafikisha mahali walipo.

Katika pitepite zetu tuliweza kukutana na msanii anayekuja kwa kasi zaidi ndani tasnia ya mziki humu nchini anayejulikana kama Salim Hassan almaarufu kama KELECHI AFRICANA.

Alitueleza kwamba yeye alianza mziki mwaka wa 2011 na alijiamini kuwa ubavu wakupigana kisauti anao na alitamani sana japo siku moja nyimbo zake ziate kuchezwa ata ndani ya kituo kimoja cha runinga lakini wakati huo alikua hanamdhamini na kiwango cha pesa kulipia video kilikua kinampiga chenga sana.

Kelechi alielezea kwamba nyimbo yake ya kwanza aliweza kuirecord katika studio inayojulikana kama GHETTO RECORDS ambayo iko mitaa ya Likoni chini ya produza HAMMADOO na track hio aliipa jina la KUCHIKUCHI ambayo hio ndio iliomtambulisha kama Kelechi na ndio iinayomlea hadi leo.


"KUCHIKUCHI ni track ambayo iliweza kunifanya hadi leo najulikana lakini track hio haikufanya vizuri sana katika vituo vyetu kwasababu ni ngoma ambayo kwanza ilifanywa na producer mdogo na studio pia ambayo haijapanuka vile ya GHETTOH RECORDS,lakini ndio iliweza kunikutanisha na watu wakubwa maana nilitamani sana kufanya kazi chini ya MISHE MISHE EMPIRE ambayo inamilikiwa na SUSUMILA lakini wakati huo Susumilah ndio alikua ameandamwa na madai kwamba anatumia wasanii wadogo ilikujikimu,nilipomwambia ivo aliweza kuniambia nimtumia ngoma zangu nikamtumia BOMBORIKA na KUCHIKUCHI na kuipenda sana maana walikua wamefanya ngoma moja na BUSY K iliokua inamuonekano kama wa KUCHIKUCHI,aliweza kuniambia ninaweza na kunihaidi atakama hatoniingiza katika MISHE MISHE EMPIRE lakini atanisaidia,siku moja nimekaa tu kitaa Susu akinipigia simu na kuniambia ni vuke town nilipofika uko aliweza kunikutanisha na manager wa group ya WASOJALIBAND ambaye pa ndio c.e.o wa  KUBWA ENT na kumuolezea kunihusu mimi na hapo hapo hapo niliweza kumsikizisha nyimbo zangu nilizo record na kuzipenda basi tulianza mikakati na tuliweza kuachia nyimbo angu iliojulikana kama BOMBORIBO pamoja na hapo kulikua na nyimbo ya WASOJALI BAND na kuniambia nieke sauti na ndio hio nyimbo ikanitambulisha inayojulikana kama NITALIA NAWE so namshukuru sana SUSUMILA pamoja na meneja wangu ATHMAN BABAZ." Alieleza hayo Kelechi.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..