EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE| HIZI NI PICHA ZA NYUMA YA PAZIA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA 'DANCE NA SHIRO" YA MSANII BENSO...|TIZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA.
Amerudi tena na majembe mapya kabisa ambapo ivi karibuni utakua unatizama video yake inayojulikana kama NATAKA KUDANCE NA SHIRO,katika pitepite zetu katika mitandao tuliweza kunasa baadhi ya picha za nyuma ya pazia za video hio ambayo bado iko chini ya ukarabati.
Katika vido hio tumeweza kushuhudia sura zilizojaa mafuta yaani zinazometameta na kung'a za warembo ambao kwa mara ya kwanza ndio utawaona katika kioo chako
Hizi ndizo baadhi ya picha utakazo kumbana nazo katika video ya DANCE NA SHIRO


Comments
Post a Comment