Baada ya kimya cha mda mrefu msanii wa mtindo wa HIP HOP aliyetambulika kama OHZY amerudi tena mara hii amekuja na mtindo tofauti wakihindi hivi akiwa amemshirikisha
KING PHEEZLE.
Msanii huyu alikuwa yuko chini ya studio za THURNDERSOUND chini ya MORBIZ produza lakini hii nyimbo amefainyia maeneo ya Tanzania katika studio za MANDUGU DIGITAL na kukuletea MARIKAHE ambapo alisema jina hilo linamaana ya HUSTLING (KUTAFUTA).
.
Download hapa....
Comments
Post a Comment