Skip to main content

HAYA NDIO MAJINA YA WANAOWANIA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI...



Tuzo za BET mwaka huu zinatarajiwa kufanyika jumapili ya tarehe 28 mwezi wa sita, sasa jana wametoa majina ya wanaowania kwenye tuzo hizo kubwa za muziki duniani.
Mwaka jana Tanzania iliwakilishwa na Nasseb “Diamond” Abdul, katika kipengele kinacho washindanisha wanamuziki wa kiafrika cha “Best International Act”.
This time Diamond hakutajwa kwenye kipengele hicho, walioingia mwaka huu ni Sauti soul kutoka Kenya, rapper AKA kutoka Afrika Kusini, rapper Sarkodie kutoka Ghana, Yemi alade wa Nigeria pamoja na Star boy “Wizkid” kutoka Nigeria pia, Fallyipupa kutoka Congo
Tazama list nzima ya vipengele pamoja na majina yao hapo chini.
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Best Male R&B/Pop Artist
August Alsina
Chris Brown
John Legend
The Weeknd
Trey Songz
Usher
Best Group
A$AP Mob
Jodeci
Migos
Rae Sremmurd
Rich Gang
Young Money
Best Collaboration
August Alsina feat. Nicki Minaj – “No Love (Remix)”
Big Sean feat. E-40 – “IDFWU”
Chris Brown feat. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Chris Brown feat. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common & John Legend – “Glory” (From the motion picture Selma)
Mark Ronson feat. Bruno Maros – “Uptown Funk”
Best Male Hip-Hop Artist
Big Sean
Common
Drake
J. Cole
Kendrick Lamar
Wale
Best Female Hip-Hop Artist
Azealia Banks
DeJ Loaf
Iggy Azalea
Nicki Minaj
Tink
Trina
Video of the Year
Beyoncé – “7/11″
Big Sean feat. E-40 – “IDFWU”
Chris Brown feat. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Chris Brown feat. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common & John Legend – “Glory” (From the motion picture Selma)
Nicki Minaj – “Anaconda”
Video Director of the Year
Benny Boom
Beyoncé, Ed Burke, & Todd Tourso
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
Best New Artist
Bobby Shmurda
DeJ Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith
Tinashe
Best Gospel Artist
Deitrick Haddon
Erica Campbell
Fred Hammond
Lecrae
Mali Music
Michelle Williams
Best Actress
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
Best Actor
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollett
Kevin Hart
Terrence Howard
Youngstars Award
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis
Quvenzhané Wallis
Zendaya
Best Movie
Annie
Selma
Think Like a Man Too
Tope Five
Sportswoman of the Year
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams
Skylar Diggins
Venus Williams
Sportsman of the Year
Chris Paul
Floyd Mayweather, Jr.
Lebron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry
COCA-COLA VIEWERS’ CHOICE AWARD
Beyoncé – “7/11″
DeJ Loaf – “Try Me”
Kendrick Lamar – “i”
Nicki Minaj fear. Drake, Lil Wayne, & Chris Brown – “Only”
Rae Sremmurd feat. Nicki Minaj & Young Thug – “Throw Sum Mo”
The Weeknd – “Earned It” (From the Fifty Shades of Grey soundtrack)
Centric Award
Avery Sunshine – “Call My Name”
Jazmine Sullivan feat. Meek Mill – “Dumb”
Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Sam Smith feat. Mary J. Blige – “Stay With Me”
The Weeknd – “Earned It” (From the Fifty Shades of Grey soundtrack)
Best International Act: Africa
AKA (South Africa)
Fally Ipupa (DR Congo)
Sarkodie (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Stonebwoy (Ghana)
The Soil (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
Best International Act: UK
fka Twigs
Fuse ODG
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..