Skip to main content

EXCLUSIVE STORY| NYOTA NDOGO ADAI KWAMBA YEYE HAPELEKWI NA MITINDO INAYOCHIPUKA...Soma hapa zaidi.

Kama tunavyojua NYOTA NDOGO ni mmoja ya wasanii wakike wakongwe kutoka Afrika Mashariki na anayefanya vizuri zaidi kimziki.

Mapema wiki jana msanii huyu wakike katika safari yake ya kufanya promo kwa wimbo wake mpya unayojulikana kama SUBIRA YANGU ambao umeweza kupokelewa vizuri zaidi katika radio zote humu nchini pamoja na Afrika Mashariki aliweza kutembelea radio na runinga nchi nzima kuutendea haki wimbo ule.

Nyota aliweza kufunguka mengi kuhusu mziki wake anaoufanya ambao anasema ndio unaomletea ugali kwenye meza,Nyota alidai kwamba yeye sio msanii wakupelekwa na upepo wa watu ama wasanii yeye ni msanii anayejiamini na kuheshimu mashabiki wake na nyimbo zake licha yakwamba zinasikizwa na kila mtu lakini anapenda kufikisha ujumbe kwa jamii "Kiukweli mimi sipendi kuwaangusha mashabiki zangu ambao ndio wanaoniletea unga mezani,sijawahi ata kuguswa na hii mitindo mipya inayochipuka ya west Africa mimi nitabaki kuwa nyota na mtindo wangu utabaki huu huu maana mimi sishindani na mtu yeyote ama msanii yeyote katika industry". Nyota alisema


Aliweza kusema kwamba hizi nyimbo zinazotoka sasa za mbio mbio watu wanafuata upepo tu na wala hawaimbi kile kitu mashabiki wanaitaji lakini yeye katika nyimbo zake anazingatia sana mashairi kuliko mdondo (BEAT) yeye anahitaji mashabiki wapate ujumbe sio wapate Beat.

Ipakue Hapa nyimbo yake mpya SUBIRA YANGU

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.