Skip to main content

TOTTI KUWA TISHIO KWA WASANII KUTOKA NCHI JIRANI.....Soma habari nzima hapa...


Wengi wanamfahamu kwa kazi yake ya kutengeneza ngoma (producer) kutoka studio za KAY-G RECORDS,baada ya kuweka wazi kwamba kazi yake hio yakutengeneza mziki itakaa kando kwa mda TOTTI amekuwa tishio kwa wasanii wengi kutoka nchi jirani ya TANZANIA.

Hii ni baada ya kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina WANGU nyimbo inayoendelea kufanya vizuri katika vituo vyote hapa nchini ambapo video yake imeweza kutoka wiki mbili zilizopita akiwa ameweza kuifanya video hio na director kutoka hapa nchini kwa jina la SYNC ameweza kutengeza video kama vile ya OMMY DIMPOZ na mrembo AVRIL na pia siku kadhaa ameweza pia kuketia kazi inayojulikana kama NINAWEZA.



Baada ya Totti kuachia video yake hio ya WANGU tuliweza kuona video hio ya sekunde kumi na tano katika ukurasa wa Instagram unaofahamika kwa jina DIAMONDPLATNUMZDAILY unaosifika kwa kutoa taarifa za staa wa bongo DIAMOND PLATNUMZ, chakushangza video hio iliweza kukaa hapa kwa masaa mawili na ikatolewa swala ambalo limetela shida katika vituo vya radio kwamba msanii huyu kutoka hapa nchini Kenya kuwa amekua tishio  la staa huyo DIAMOND PLATNUMZ anayetamba kwa ngoma inayojulikana kwa jina NANA kwasasa.

Pata kuitzama video hio ya WANGU hapa chini..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..