Skip to main content

EXCLUSIVE: "PANGA SHOW YAKO ALAFU USINIWEKE" SUSUMILA AMPIGA DONGO NANI?? Soma hapa...

Licha yakua huu mwaka msanii SUSUMILA hajaonekana katika matamasha mengi yeye ndio ameteuliwa katika tamasha kuu la WASAFI FESTIVAL.
Mapema leo hii Yusuf Kombo almaarufu kama Susumila aliweza kuandika ukurasa tusijue alimpiga nani dongo hilo maana kulingana na ukurasa huo ulivyoandikwa ujumbe huo unamuendea mtu fla i kama sio Presenter basi atakua msanii mwenzake ama Muandaaji mmoja wa matamasha kutoka Mombasa.

Susumila aliweza kuandika hivi "Jamani show sijaipanga mimi wenye kupanga kimtazamo wao wameona nawafaa kwenye hio show so kama waona sifai panga show yako alafu usiniweke muweke unaempenda ama unaemuona anakufaa mbona tunasahau huwezi pendwa na kila mtu na huwezi chukiwa na kila mtu ðŸ˜‚😂🤣kwa sasa nivumilieni kidogo mpaka 26th ikiisha maisha yataendelea ama mnasemaje wangwana  #Mchezousiuchezee" Aliandika hayo uku akiambatanisha na posta ya show hio Ya WASAFI FESTIVAL ilioandaliwa na kituo cha NRG.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.