Skip to main content

EXCLUSIVE VIDEO||| SUDI BIN SUDI-MAULANA||| PATA KUITAZAMA HAPA

Best vocalist ambaye hapo mwanzo alikua akijulikana kama SUDI BOY ambaye kwa sasa amegeuza jina n akujiita SUDI BIN SUDI amekuja tena na mtindo tofauti.


Kama tunavyimjua SUDI ni msanii sana sana wa mapaaenazai ila hivi karibuni msanii huyu amekua akigeuz mtindo wake wa na kuingilia mtindao tofauti, mwaka jana aliweza kutufungia mwaka na nyimbo iliosemekana kwa alimuimbia marehemu sana ambaye alikua ni mke wake nyimbo ilikua inakwenda kwajina KIDONDA mwaka huu msanii huyo ameweza kutufungulia mwaka na nyimbo yake mpya inayokwenda kwajina MAULANA.

Maulana ni nyimbo iliojawa na hisia nyingini sana,nyimbo hii inazungumzia maisha ya kawaida na pia inakutia imani kwamba MAULANA ndio kila kitu maanaa yeye mueza wa yote .

Pata kuitizama video hio hapa.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..