Skip to main content

DIRECTOR WA VIDEO ENOS OLIK INASEMEKANA ALIWA DHALILISHA KIDIS NA TOTTI KWA VIDEO YAO MPYA YA TWENDE OUT..






Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na uandaaji wa video mpya ya Kidis akiwa na Totti ambapo walikuwa wanairudia video ya mpya ya "TWENDE OUT" ama "TUJIRUSHE"  ambapo msanii mwenzao Jaguar alikiri kuigharamikia video hio mpya lakini kufikia sasa Kidis na Totti wanasema hawajui kinachoendelea baina yao na Director wa Video hio anayejulikana kama ENOS OLIK.

Tukiongea na Kidis alisema kuwa yeye haelewi kinachondelea ambapo alikabidhiwa video hio na alipopewa hakuwa na lakusema akampa msanii mwenzake Totti ili aweze kuitizama pia yeye ambapo video hio Kidis alisema ilikuwa imewekwa katika VCD na kuambiwa ni HD video lakini kuitazama vizuri waliambulia kukasirika na kumrudishia director huyo video yake wakiwa wamejawa na hasira.

Totti naye alisema video ilikuwa ni mbovu "Poor Quality" Totii alisema na pia akaongezea na kusema pia video hio ilitoka tofauti na vilie walivyo fikiria na wote waliamua kuirudisha kwa director huyo shupavu ili airudilie tena.

Mbinu zetu za kumtafuta Enos Olik na Jaguar ziliambulia patupu ambapo kwa sasa Jaguar yuko South Africa anatayarisha video yake mpya ya One Centimeter, Kwasasa wasanii hao wanaingojea tena video hio kwa mara ya pili.

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..