Skip to main content

HII NDIO FAMILIA YA ANTHONY MARTIAL ALIYESAJILIWA MAN UNITED PAMOJA NA WATOTO WAKE..

Klabu ya Manchester United imemsajili mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 kwa dau la pound milioni 36 akitokea klabu ya Monaco ya UfaransaAnthony Martial lakini mashabiki wamekuwa wakihoji kiwango hicho cha fedha kwa mchezaji huyo chipukizi, huenda ni kwa sababu hawa mfahamu.


Martial ni mchezaji au mtu mwenye tabia za kupenda kukaa ndani, kupenda kupikiwa chakula na mama yake, ni mpenzi wa kuangalia Tv na kukaa na familia yake wakati ambapo anakuwa kamaliza kucheza mechi au kufanya mazoezi.


Mshambuliaji huyo amemuoa Samantha na wana mtoto mmoja wa kike anaitwa Toto, huku wakitarajia kupata mtoto wa pili kwani mpenzi wake ni mjamzito kwa sasa. Dau la uhamisho wa Martial ambalo linafikia pound milioni 58 pamoja na bonus, linamfanya atajwe kama mchezaji mdogo mwenye thamani zaidi


Martial ambaye watu na vyombo vingi vya habari za michezo hupenda kumlinganisha na mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa Thierry Henry, huwa na tabia ya kupenda kuchat na mpenzi wake muda mchache kabla ya mechi na kusikiliza muziki.






Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TANZANITE ALIYO MUIMBIA LULU WA BONGO MOVIE

Pata kudownload na kuskiza hapa chini....

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.